Tanzania ni nchi ilyojaa fursa lukuki. Katika kilimo na ufugaji kila mkoa kuna fursa tele. Mengi yamefanyika kukifanya kilimo kuwa
Showing posts with label UJASIRIAMALI FORUM. Show all posts
Showing posts with label UJASIRIAMALI FORUM. Show all posts
Historia ya kilimo tanzania, Utapata upeo mpya katika maamuzi yako katika kilimo
Tanzania ni nchi ilyojaa fursa lukuki. Katika kilimo na ufugaji kila mkoa kuna fursa tele. Mengi yamefanyika kukifanya kilimo kuwa
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
Soma Hapa Fursa Mradi wa Kuku Kibaha
Shiriki la Elimu Kibaha limeingia ubia na kampuni ya Organia toka Egypt na Turkey kwa ajili kuzalisha na kuuza kuku walio katika ubora wa masoko ya Ulaya, lengo likiwa ni
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
Kilimo shadidi (System of rice intensification {SRI}), Mbinu ya Kisasa Kilimo cha Mpunga
Fuatana nami katika kujifunza jinsi unavyoweza badili kutoka kulima mpunga kimazoe kwenda katika kilimo chenye kutoka mavuno tele kwa
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
ANZA KIDOGO: MAPINDUZI YA KIJANI, ANZA SASA
Zipo simulizi nyingi za watu wengi waliofanikiwa katika Kilimo na ujasiliamali. Kuna somo kubwa la kujifunza kutoka kwa
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
Why “I” must do Agric. – An AFRICAN YOUTH
I am aware the importance of agriculture is well known as well as its benefits, so just to state but a few:
1. Agriculture is the world’s largest industry. It employs
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
SOMO: FAIDIKA NA KILIMO CHA VITUNGUU MAJI

UTANGULIZI
Vitunguu maji hulimwa kama zao la biashara katika sehemu nyingi
duniani zenye hali ya hewa ya ubaridi wastani. Zao hili lina wapatia
watu
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
SOMO: Mkulima ongeza MAVUNO kwa matumizi sahihi ya MBOLEA.
Somo la Mbolea
Yara Tanzania Ltd ni kampuni inayojiusisha na utengenezaji, usambazaji, uuzaji na utoa elimu kuhusu Mbolea za mazao mbalimbali.
Mbolea katika maana nyepesi ni
Mbolea katika maana nyepesi ni
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
Envisioning agriculture as a business for youth in Africa
Agriculture is the single-largest source of income for rural Africans and contributes to a quarter of the continent’s gross domestic product. The sector occupies more than 70 percent of the labor force in Africa’s low-income countries and contributes to food security and poverty reduction.
However, agriculture cannot
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
KILIMO CHA TANGAWIZI

Kwa ujumla tangawiz hustawi kwenye mwinuko kuanzia m 800 mpaka 1500 kutoka usawa wa bahari, kwa ujumla maeneo mengi inakostawi kahawa na tangawiz zinastawi.
KUANDAA SHAMBA
Andaa Shamba lako mapema, katua/lima kuanzia miezi ya
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
KILIMO BORA CHA UFUTA


Ufuta (sesamum indicum)ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. Mbegu za zao hili huwa
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
Tajirika kwa kilimo cha Kitunguu swaumu

Kitunguu saumu ni moja kati ya zao bora lenye manufaa mengi kwa matumizi ya kila siku kwa maisha ya mwanadamu, kiafya, Kitabibu na kwa ajili ya kutengeneza au kuchanganyia katika dawa tofauti. Pia ni kiungo mahusui katika mambo ya mapishi.
Kilimo cha zao hili kinaweza
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
PAPAI: Faidika na kilimo rahisi cha papai
utafiti unaonyesha zao la mipapai ni zao ambalo halihitaji na halina gharama kubwa lakini faida yake ni kubwa sana. heka moja inachukuwa miche ya mipapai kati ya 400 au 600. mbegu zinapatikana katika kila duka la pembejeo.
pia unaweza
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
5 Exciting Reasons Why You Should Invest In Africa’s Agribusiness Industry… NOW!
by John-Paul Iwuoha and Dr. Harnet Bokrezion
When most people think of agriculture in Africa, images of poor and overworked farmers with crude tools on a rural farm readily come to mind. Many, especially young Africans, still think that agribusiness is a poor man’s occupation. Nowadays everybody wants a white-collar office job in the city.
Agribusiness is hardly on anyone’s mind. Did you know that
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
TUTA ABSOLUTA:Mkulima wa nyanya mjue mdudu huyu anayeweza kukutia umasikini muda wowote
Nyanya ikiwa imeharibiwa na mdudu huyu hatari
Tuta absoluta/ leaf miner
nyanya ikishambuliwa
Tuta absoluta almaarufu kama kanitangaze mikoa ya nyanda za juu kusini na EBOLA kwa mikoa ya kati kanda ya ziwa wanamuita kipepeo au barababu.
Tuta absoluta ni mdudu mgeni hapa nchini kwetu anayeshambulia mazao jamii ya solanaceae haya yanajumuisha nyanya, viazi mviringo na majani yaliyo katika kundi hili.
Kwa hapa chini kwetu
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
KILIMO CHA MAHARAGWE MACHANGA/GREEN BEANS
maharagwe machanga yakiwa tayari yamevunwa
maharagwe machanga yakiwa bado shamba.
Hivi karibuni hapa nchini Tanzania, kumekuwa na uanzishaji na uendelezaji wa kilimo cha mazao mapya ambayo hayakuzoeleka hapo awali. Moja ya mazao hayo ni pamoja na maharagwe machanga, maarufu kama Green beans au French beans.
Utayarishaji wa shamba
Lima shamba na kuondoa magugu yote. Hakikisha
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
Kwa nini dalali yupo katika mazao
kilimo ni soko huria ambalo kila mtu Yuko huru kuingia na kutoka ktk shughuli hii,na hakuna mamlaka inayo regulate and control mazao ya kilimo hususani bustani. Hivyo kupelekea
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
PLAN: Fuga kuku watano kienyeji upate 200 kwa miezi sita

Hebu anza na kuku Watano (5) tu Majike wenye Rika/Umri mmoja (au wanaokaribiana).
Watunze vizuri kwa kuwapatia chakula kilicho na mchanganyiko kamili wa viini lishe
vinavyotakiwa katika mwili wa kuku,
yaani;
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
The 10 Easiest Vegetables to Grow at Home
Gardening is hot, hot, hot. And why not? Planting a few seeds on your deck or in your backyard yields delicious, organic results – and money savings, too. Besides,
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
KILIMO KATIKATI YA JIJI NI NINI NA KWA NINI?
Kilimo cha jijini/mijini ni kile ukulim na ufugaji katikati ya jiji.kwa nini ukae nyumbani bila kutambua nyuma ya nyumba yako/iliyopanda ni eneo ambalo linaweza kugeuzwa kuwa msitu wa vitunguu, spinach, mchicha bilinganya, nyanya, matembele, mnamvu n.k
Watu walioendelea leo duniani
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
MOBILE KILIMO PLATFORM: mtandao wa kuwakutanisha wakulima, wataalamu na wanunuzi Tanzania

Huu ni mfumo wa kimtandandao unaotumia simu za mikononi wenye lengo la kuwawezesha wakulima, wataalamu wa
Labels:
UJASIRIAMALI FORUM
Subscribe to:
Posts (Atom)
