MOBILE KILIMO PLATFORM: mtandao wa kuwakutanisha wakulima, wataalamu na wanunuzi Tanzania
Huu ni mfumo wa kimtandandao unaotumia simu za mikononi wenye lengo la kuwawezesha wakulima, wataalamu wa
kilimo na Wanunuzi wa mazao .
Mfumo huu umewezeshwa na Economic and social Research Fundation (ESRF) ikipata sapoti kutoka kwa Serikali ya Tanzania na Shirika la maendeleo la umoja wa mataifa (UNDP).
Mfumo huu umezinduliwa rasmi katika mkoa wa Mbeya katika wilaya ya ileje.
Utakapojiunga katika mfumo huu, mkulima atapata fulsa ya kubadilishana maarifa, kukutana na wanunuzi wa bidhaa mbalimbali za kilimo na kufanya biashara
Mfumo huu ni matokeo ya utafiti uliofanywa na Shirika hili katika maeneo mbalimbali ya wilaya za tanzania.
hii ni fulsa kwa wakulima, wafanyabiashara wa bidhaa za kilimo na wanunuzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment