2016: Fresh Produce Africa, Maonyesho ya MATUNDA NA MBOGAMBOGA





Mwaka 2016 kwa wakulima na wafugaji ni mwaka wa kuweka mipango mikubwa ya mafanikio.
Mipango ya kulima na kujua bidhaa zako utaziboresha vipi, utaziuza wapi.

Mipaka ya nchi isiwe mipaka ya mipango yako.

Panga kuhudhuria Maonyesho ya bidhaa za matunda na mbogamboga yatakayofanyika N

   OSHWAR CENTER - NAIROBI(parklands )  APRIL 13 HADI APRIL 15, 2016.


Kwa maelezo zaidi na kwa nini usikose katika maonyesho hayo pitia hapa,


Tembelea, www.freshproduceafrica.com

No comments:

Post a Comment