2016, Maonyeso makubwa kabisa ya Kilimo/Uboreshaji wa nafaka barani asia.





Dunia Imekuwa kijiji, Usihjifunge kujifunza kilimo na uboreshaji wa mazao ya kilimo kwa maeneo yale yale kila siku. Kunatalajiwa kuwa na
maonyesho makubwa 2016 zaidi ya yale ya 2014 barani asia katika sekta ya kilimo hususani katika,

. uboreshaji na njia za kisasa za kuzalisha chakula cha mifugo.

.Uzalishaji na uboreshaji wa nafaka na Michele

Mashine mbalimbali zenye uwezo wa kuprocess nafaka kwa ufanisi wa hali ya juu.

.Tukio hili litafanyika BITEC,  Bankok kuanzia tarehe 29 hadi 31 mwezi wa tatu 2016.


Unaweza kufuatilia taarifa na maarifa mbalimbali zenye manufaa kwako kupitia tovuti zifuatazo pamoja na utaratibu wa kuhudhuria kupitia,

 www.fiaap.com

www.victam.com&

 www.grapas.eu.

No comments:

Post a Comment