Historia ya kilimo tanzania, Utapata upeo mpya katika maamuzi yako katika kilimo


Tanzania ni nchi ilyojaa fursa lukuki. Katika kilimo na ufugaji kila mkoa kuna fursa tele. Mengi yamefanyika kukifanya kilimo kuwa
kichocheo cha maendeleo kwa taifa na mtu mmoja mmoja.

Wizara ya kilimo Tanzania inamipango kabambe kukupa taarifa sahihi mahala gani kuna vyanzo ya maji, Mbegu bora, ushauri wa kitaalamu kufikia malengo vilevile na taarifa zote kuhusu kulima.

Katika kusheherekea Uhuru, kuna vitu vingi vya kujifunza katika report iliyotolewa yenye taarifa za thamani sana kwako mkulima unaelima sasa, unaepanga kulima, unaetamani kulima lakini bado unasitasita.

HAPA nimekuwekea wizara ya kilimo/miaka 5o ya uhuru, then fungua report  Hiyo ujisomee.

utajifunza;

1. Mikakati ya wizara kuboresha elimu kwa wakulima,

2. Mikakati ya uongezaji wa mazao mablimbali ya chakula na biashara na jinsi unavyoweza kunufaika na mkiakakti hii.

3.Tafiti mbalimbali za mazao  na udongo sehemu mbalimbali nchini.

4.Changamoto mbalimbali za kilimo na mwelekeo wa kilimo tanzania.

5. Utajua ni mahala gani pazuri pa kuwekeza na zao gani.


No comments:

Post a Comment