2016 Jan, Panga kuhudhulia Tukio Kubwa la Wakulima EA, Mlimani City.

Mkulima haishi kama kisiwa, Bila kukutana na wenzako na kupata changamoto kubwa kutoka kwa wenzako utabaki unazalisha kwa kiwango kilekile. Watu wengi wamekuwa wakihofu gharama bila kuangalia thamani ya kile wanachokighalimilia.

Kutana na wakulima na wadau wa
kulima wenzako mlimani city Kuanzia January 27 hadi 28 2016.

Mkutano huu unatarajiwa kuwakutanisha watu zaidi ya 700 na wanamaonyesho ya kilimo zaidi ya 50 pamoja na wawakilishi mbalimbali kutoka wizara ya kilimo.

ndio nafasi ya kupata mtandao wa wakulima wenzako, Jinsi ya kufanya kilimo chenye tija.

kwa maelezo zaidi tembelea,

http://www.agri-eastafrica.com/

No comments:

Post a Comment