Kwa nini dalali yupo katika mazao




kilimo ni soko huria ambalo kila mtu Yuko huru kuingia na kutoka ktk shughuli hii,na hakuna mamlaka inayo regulate and control mazao ya kilimo hususani bustani. Hivyo kupelekea
 WATU WENGI KUZALISHA KW WINGI,..ILIHALI MAHITAJI WA BIDHAA HIZO HUA HAFIFU WAKATI MWINGINE,


Hivyo kupelekea wakulima weng kutaka kuuza mazao yao kwa mkupuo kw bei ya faida na haraka..NDIPO MTU KATI(dalali mwenyeji wa soko)AKAZALIWA.

Ni watu wazuri ila kutokana na kutokuwa na taarifa na umoja kwa wakulima,kujua soko na uhalisia wa bei unakuwa ni changamoto.

Wakati huohuo madalali wanaumoja ktk masoko wanayofanyia kaz ambapo hua rahis kupashana habari. Kwa mfumo huu ni vigumu kwa mkulima husuani wa mazao ya bustani kukwepa madalali kwa asilimia kubwa maana wao wanakuwa viunganishi na wanataarifa halisi ya sikoni na .

NJIA YA KUWAKWEPA ANGALAU KWA ASILIMIA KUBWA.

1.Lima mazao ktk eneo unaloweza kuwa msambaazaji mwenyewe kwa wauzaji na watumiaji     wengine.

2.Ongeza thaman ya mazao yako,
kisha weka ktk vfungashio vya size mbalimbali kulingana na nature ya soko lako.

4..Hakikisha unasambaza mwenyewe kw retailers ama kw kufungua maduka ya usambazaj wa bidhaa zako..mf..royal beckary(mikate)...EPUKA KUUZA BIDHAA ZAKO KTK MASOKO YA WAKULIMA KWA KUYAONGEZEA THAMANI.

Thanks to wajasiliamali forum


No comments:

Post a Comment