tag:blogger.com,1999:blog-2060695150732014302.post1728713177539723994..comments2023-10-20T05:14:20.007-07:00Comments on MIRADI KWANZA: SOMO: FAIDIKA NA KILIMO CHA VITUNGUU MAJIAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/03958508013109170188noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-2060695150732014302.post-50699814036811287682022-03-14T03:49:15.737-07:002022-03-14T03:49:15.737-07:00Naomba ushauri kuusu uwekaj WA mbolea kwenye kital...Naomba ushauri kuusu uwekaj WA mbolea kwenye kitalu na Aina gani mzuri ya sumu ya kuzibiti magonjwa yatokanayo na fangasi Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17504223620457789167noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2060695150732014302.post-80873326984839945942020-09-12T07:08:07.222-07:002020-09-12T07:08:07.222-07:00BAJETI YA KILIMO CHA VITUNGUU
Kilimo kitach...BAJETI YA KILIMO CHA VITUNGUU

Kilimo kitachukua miezi 3 hadi 4 kuotesha vitunguu vyako baada ya kuvipandikiza kutoka kwenye kitalu.
Quantity Unit Cost Total Cost
Bomba la kunynyuzia sumu na dawa 1pc 45,000 45,000
Pump ya maji 1pc 350,000 350,000
Mipira ya maji 3pcs 130,000 390,000
Kolomeo la maji 7m 17,000 119,000
Majembe 2pcs 10,000 20,000
Leki 1pc 10,000 10,000
Chepe 2pcs 10,000 20,000
Mbegu 3kgs 120,000 360,000
Mbolea ya kuchochea ukuaji wa mizizi ustawi wa mmea 2bags 50,000 100,000
Mbolea ya kukuzia kitunguu 2bags 50,000 100,000
Mbole ya kujenga kitunguu chenye Afya, umbo kubwa na kuongeza maisha rufani baada ya kuvunwa 2bags 50,000 100,000
Mbole ya maji ya majani - -
Dawa ya kudhibiti magonjwa ya ukungu 12wiki 10,000 120,000
Sumu ya kudhibiti wadudu waharibifu 12wiki 25,000 300,000
Mafuta ya petrol 12wiki 25,000 300,000
Palizi 2palizi 100,000 200,000
Sumu ya magugu 2palizi - -
Sumu ya palizi 2palizi - -
Watenda kazi wa kupulizia dawa za magonjwa na wadudu 12wiki - -
Watenda kazi wa kumwagilia maji 12wiki - -
Watenda kazi kuangalia shamba na ulinzi 12wiki - -
Kulima kwa trekta shamba eka moja 1eka 50,000 50,000
Kupiga harrow shamba eka moja 1eka 40,000 40,000
Kukodi shamba eka moja 1eka 100,000 100,000
AKIBA 1eka 1,000,000 1,000,000
3,724,000
Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/12973858792517844798noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2060695150732014302.post-76674278994901632832020-08-21T06:54:13.058-07:002020-08-21T06:54:13.058-07:00Naomba kujua taarifa za soko la nje ya Tanzania ha...Naomba kujua taarifa za soko la nje ya Tanzania has katika ukanda wa nch za SADC
Nickhttps://www.blogger.com/profile/06058736475719604535noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2060695150732014302.post-27690957099181916222016-12-17T04:15:53.799-08:002016-12-17T04:15:53.799-08:00NAOMBA KUPATA GHARAMA ZA KULIMA EKARI MOJA YA VITU...NAOMBA KUPATA GHARAMA ZA KULIMA EKARI MOJA YA VITUNGUUAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/12264161968560015396noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2060695150732014302.post-70467236768317286192016-08-16T01:38:57.134-07:002016-08-16T01:38:57.134-07:00NAOMBA KUPATA MAKISIO YA GHARAMA ZA KULIMA HEKARI ...NAOMBA KUPATA MAKISIO YA GHARAMA ZA KULIMA HEKARI MOJA YA VITUNGUAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/14166187050954852381noreply@blogger.com