Shell Ideas360 2015/2016 Shindano la wazo(Idea) kwa wanavyuo Africa:Mshindi $10,000



Kampuni ya Mafuta ya Shell imeendelea na utaratibu wa kushindanisha mawazo ya kivumbuzi kwa vijana wa africa. Wewe mwanachuo
tenga muda wako tumia uwezo wako shiriki katika shindano hili, Inawza kuwa fursa ya kukutambulisha duniani na kubadilisha maisha yako kabisa.



pitia hapa kufuata utaratibu na maelezo zaidi.

http://www.shellideas360.com/news/
https://shellideas360.twinehr.com/register

No comments:

Post a Comment