KILIMO KATIKATI YA JIJI NI NINI NA KWA NINI?

Fesh Garen VegetablesDisplaying IMG-20150614-WA0019.jpg
Sack farming in school
Displaying IMG-20150614-WA0020.jpg
Kilimo cha jijini/mijini ni kile ukulim na ufugaji katikati ya jiji.kwa nini ukae nyumbani bila kutambua nyuma ya nyumba yako/iliyopanda ni eneo ambalo linaweza kugeuzwa kuwa msitu wa vitunguu, spinach, mchicha bilinganya, nyanya, matembele, mnamvu n.k

Watu walioendelea leo duniani
hawafikilii tu kupanda maua kupendezesha nyumba lakini kwa vifaa hivyohivyo mboga safi zisizo na madawa hupandwa kwa ustadi wa hali ya juu,

Hapo juu ni mfano rahisi wa jinsi ambayo unawezakutekeleza kilimo nyumbani kwako. Picha zinajieleza zenyewe na ni rahisi kudesign na kuzitekeleza.

KWA NINI ULIME MJINI/FAIDA
1. Ukulima huu utasaidia kupunguza matumizi ya pesa. Katika nchi masikini au zinazoendelea kama Tanzania wakazi wengi wa mijiti wanatumia asilimia 50% hadi 70% ya vipato vyao kwenye chakula.

2. Kama kilimo hiki kikifanywa kwa ufanisi kitaongeza pesa kwa familia. na pesa hizi kutumika katika kuboresha maisha, Kulipa kodi, ada ya shule ya familia na hata kuwekeza.

3.kilimo/ufugaji wa nyumbani unachochea kufunguliwa kwa viwanda vidogo vigogo mijini kwa usindikaji wa bidhaa za vyakula, bidhaa za wanyama, hiyo kuchochea maendele.

kuamua kufanya kilimo nyumbani ni kuamua kubadili maisha yako nyumbani kiuchumi






No comments:

Post a Comment